Head

Vitu vya Kuepuka Wakati wa Ujauzito

Vitu vya Kuepuka Wakati wa Ujauzito Ujauzito ni kipindi muhimu kinachohitaji umakini mkubwa katika afya ya mama na mtoto anayekua tumboni. Madaktari na taasisi kubwa za afya duniani zinashauri …

Dalili za mimba za mwanzo ni zipi?

Dalili za mimba za mwanzo ni zipi? Mimba ni hatua muhimu katika maisha ya mwanamke, lakini mara nyingi dalili zake za mwanzo zinaweza kufanana na zile za hedhi au uchovu wa kawaida. Kwa mujibu …

Mjamzito Kuwashwa Ukeni: Chanzo, Sababu na Ushauri wa Wataalamu wa Afya

Mjamzito Kuwashwa Ukeni: Chanzo, Sababu na Ushauri wa Wataalamu wa Afya Kuwashwa ukeni wakati wa ujauzito ni hali inayowapata wanawake wengi wajawazito duniani. Mara nyingi hali hii husababishw…

Dalili za NJIA kufunguka kwa mjamzito

DALILI ZA NJIA KUFUNGUKA KWA MJAMZITO Mwili wa mama mjamzito huanza kujiandaa kwa ajili ya kujifungua siku kadhaa au hata wiki kadhaa kabla ya uchungu halisi kuanza. “njia kufunguka” humaanisha …

Muda sahihi wa kupima mimba,fahamu hapa kila kitu

Muda sahihi wa kupima mimba,fahamu hapa kila kitu Muda Sahihi wa Kupima Mimba: Ukweli wa Kitabibu, Uzoefu wa Wanawake na Makosa Yanayofanywa Mara Nyingi Wanawake wengi hupitia kipindi cha hofu,…

Mjamzito Mapigo Ya Moyo Kwenda Mbio

Mjamzito Mapigo Ya Moyo Kwenda Mbio Mapigo ya moyo kwenda mbio kwa mjamzito (moyo kudunda haraka) ni jambo linaloweza kutokea mara nyingi wakati wa ujauzito. Wakati mwingine ni kawaida, lakini w…

Mimba kuharibika husababishwa na nini

Tatizo la mimba kuharibika,Sababu kubwa ni hizi hapa Zifuatazo ni Baadhi ya  Sababu Zinazochangia Kutokea kwa Tatizo  hili la Mimba kuharibika au kutoka Zenyewe; 1. Matatizo yanayotokana na Mfum…

Dalili za mtoto wa kiume,Fahamu hapa

Dalili za mtoto wa kiume akiwa Tumboni Kitaalamu, hakuna dalili za uhakika zinazoweza kuthibitisha mapema kuwa una mimba ya mtoto wa kiume bila kipimo cha hospitali. Lakini zipo imani za jadi t…

Tatizo la mbegu kutoka nje baada ya tendo la ndoa

Tatizo la mbegu kutoka nje baada ya tendo la ndoa  Tatizo la mbegu kutoka nje baada ya tendo la ndoa ni jambo linalowahusu wanandoa au wapenzi wengi, hasa wale wanaojaribu kupata mtoto. Kwa kawa…

Tatizo la mimba kuharibika,Sababu kubwa ni hizi hapa

Tatizo la mimba kuharibika,Sababu kubwa ni hizi hapa Zifuatazo ni Baadhi ya Sababu Zinazochangia Kutokea kwa Tatizo hili la Mimba kuharibika au kutoka Zenyewe; 1. Matatizo yanayotokana na Mfumo…

Dalili za mimba changa,Fahamu hapa dalili za mwanzo kabsa za Ujauzito

Dalili za mimba changa,Fahamu hapa dalili za mwanzo kabsa za Ujauzito Dalili za mwanzo za mimba changa Hizi hapa ni baadhi ya dalili za Mwanamke mjamzito au mwanamke mwenye mimba,Dalili hizi ni …

vyakula sahihi kwa mama mjamzito

vyakula sahihi kwa mama mjamzito Mama mjamzito anahitaji lishe bora ili kusaidia ukuaji na maendeleo ya mtoto tumboni, pamoja na kuimarisha afya yake mwenyewe wakati wa ujauzito. Hii ni muhimu k…

kutokwa na uchafu kwa mjamzito,Kutokwa na uchafu ukeni kwa mjamzito

kutokwa na uchafu kwa mjamzito,Kutokwa na uchafu ukeni kwa mjamzito Kutokwa na uchafu ukeni kwa mjamzito ni jambo la kawaida katika ujauzito, lakini pia linaweza kuwa ishara ya matatizo fulani k…

Mama baada ya kujifungua tendo la ndoa

Mama baada ya kujifungua kushiriki tendo la ndoa ni baada ya Muda Gani? Watu wengi wamekuwa wakijiuliza hivi tunatakiwa kukaa muda gani ndipo tuanze kufanya mapenzi baada ya Kujifungua?. Muda …

Mjamzito Anaweza Kufanya Tendo La Ndoa

Mjamzito Anaweza Kufanya Tendo La Ndoa JE KUNA MADHARA YOYOTE ENDAPO MAMA MJAMZITO AKIFANYA TENDO LA NDOA? Hakuna madhara yoyote endapo mama mjamzito atafanya tendo la ndoa ikiwa mama huyo hana …

Mama mjamzito kuchoma sindano ya Anti D

Mama mjamzito kuchoma sindano ya Anti D UCHOMAJI WA SINDANO YA ANTI-D(Rho) KWA MAMA MJAMZITO NA MAMA BAADA YA KUJIFUNGUA  Baada ya mama mjamzito kuanza Kliniki na kupima group la Damu,moja ya vi…

Mjamzito kukojoa mara kwa mara

Mjamzito kukojoa mara kwa mara  Nini kinasababisha mama mjamzito kukojoa mara kwa mara? fahamu hapa, Zipo sababu kuu mbili. Katika hatua za kwanza za Ujauzito, mabadiliko ya vichocheo mwilini ya…

Mama mjamzito kuumwa tumbo na kuharisha

Mama mjamzito kuumwa tumbo na kuharisha Sababu za Kuumwa tumbo na Kuharisha Wakati wa Ujauzito Kuumwa tumbo na Kuharisha wakati wa ujauzito ni hali inayowakumba wanawake wengi na inaweza kuwa …

Mama mjamzito anatakiwa alale vipi

Mama mjamzito anatakiwa alale vipi Staili za kulala kwa mama mjamzito,Soma hapa kufahamu Inaweza isiwe mara ya kwanza kwako kusikia kwamba,si kila staili ya kulala ni nzuri kwa mama mjamzito, hu…

Mama mjamzito kutokwa na damu,chanzo na Tiba

Mama mjamzito kutokwa na damu  Mama mjamzito kutokwa na Damu Ukeni ni hali ambayo inawapata wanawake wengi wakiwa wajawazito, na Sio mara Zote inamaanisha kuna tatizo kubwa la kiafya. Leo tunach…

Load More Posts That is All