Rita Na Nida Zaunganishwa Kuwa Taasisi Ya Utambuzi Wa Matukio Muhimu Maishani
Rita Na Nida Zaunganishwa Kuwa Taasisi Ya Utambuzi Wa Matukio Muhimu Maishani. Ofisi ya Mipango na Uwekezaji imetoa tangazo la kuunganishwa kwa Mashirika ya kadhaa yakiwemo Mamlaka ya Vitambulis…