Hiki ndicho kinachotokea kwa mtu anayevuta sigara
🚬 Hiki ndicho kinachotokea kwa mtu anayevuta sigara… Mwili huanza kuathirika taratibu, lakini madhara yake huwa makubwa kadri muda unavyopita. Madaktari wanaeleza kuwa sigara huingiza kemikali …
🚬 Hiki ndicho kinachotokea kwa mtu anayevuta sigara… Mwili huanza kuathirika taratibu, lakini madhara yake huwa makubwa kadri muda unavyopita. Madaktari wanaeleza kuwa sigara huingiza kemikali …
Kicheko Ni Dawa? Sayansi Inasemaje Kwa miaka mingi watu wamekuwa wakisema kuwa “kicheko ni dawa.” Ingawa kicheko hakiwezi kuchukua nafasi ya matibabu ya hospitali, tafiti kutoka taasisi mbalim…
Hali ya Mtoto kuzaliwa na Vidole Vinne Pekee badala ya Vitano Baadhi ya watoto huzaliwa na tofauti za kimaumbile kwenye mikono au vidole(congenital limb differences), hali inayojulikana kama kas…
Hypersomnia ni nini? Je ni tatizo? Fahamu hapa Leo Je, umewahi kulala kwa saa nyingi lakini bado ukahisi umechoka na usingizi mwingi mchana? Hali hii inaweza kuwa dalili ya Hypersomnia. Hypersom…
Madhara ya kupaka lipstick au lipshine ni yapi? Fahamu hapa Kutumia lipstick au lip shine kunaweza kuwa salama kwa watu wengi, lakini kwa baadhi ya watu vinaweza kusababisha madhara au usumbufu …
Mwezi wa Afya ya Akili: Umuhimu wa Kuzungumza na Kutunza Afya ya Akili Kila mwezi wa Mei duniani huadhimishwa kama Mwezi wa Uhamasishaji wa Afya ya Akili, kampeni inayolenga kuongeza uelewa kuh…
Kuna njia nyingine ya kupima UTI tofauti na mkojo? Ndiyo, zipo njia nyingine za kupima (UTI) tofauti na kipimo cha kawaida cha mkojo, lakini ukweli ni kwamba mkojo bado ndiyo njia kuu na sahih…
Madhara ya kuangalia picha chafu maarufu kama Pornograph Watu wengi wameathiriwa sana na Utazamaji wa Picha chafu au Video chafu au Pornograph(X) au Video/Picha za Ngono,hali ambayo imewaingiza …
Kidonda cha upasuaji kutoa usaha Sababu ni nini? Kidonda cha upasuaji kutoa usaha sio dalili nzuri,asilimia kubwa ni Dalili ya maambukizi kwenye Kidonda. Usaha kutoka kwenye mshono au kidonda ch…
Fahamu Vitu ambavyo Vinaharibu FIGO zako polepole bila kujua “Je, unajua kuna kitu unatumia kila siku ambacho kinaweza kuharibu figo zako polepole bila wewe kujua? Leo nakwambia ukweli ambao wat…
Baadhi ya watu hupata baridi kali ya ghafla, mwili kutetemeka, mapigo ya moyo kwenda mbio pamoja na hisia kali kupita maelezo wanaposikiliza muziki wenye nguvu. Wataalam wa afya huita jambo hili…
Minyoo husababishwa na nini,Minyoo huingiaje mwilini Njia ambazo minyoo huweza kuingia mwilini na kukushambulia ni Zipi? Minyoo kwa binadamu hupatikana kutokana na vyanzo mbalimbali, hasa vinavy…
Hitaji la kwenda chooni dakika chache tu baada ya kula ni tatizo ambalo watu wengi hukabiliana nalo kila siku. Hili pia linaibua swali akilini, je, chakula tulichokula kimemeng'enywa ipasavy…
Maji ni muhimu sana kwa afya ya binadamu, lakini kama mwili ukiwa na maji mengi kuliko inavyohitajika, hali hii inaweza kusababisha matatizo makubwa kiafya. Hapa tunazungumzia hasara kuu zinazow…
Fahamu Figo ni moja ya viungo muhimu vya mwili wa mwanadamu, ambavyo vina majukumu mengi ya kuweka mwili katika afya njema. Madaktari mara nyingi wanashauri kwamba ili kuweka figo kuwa na afya n…
Tatizo la kukosa usingizi chanzo chake kikubwa pamoja na Tiba yake Kukosa usingizi husababishwa na nini? Mtu mwenye afya bora hupaswa kupata usingizi wa kutosha ili kuweza kukua katika afya bora…
Msongo wa mawazo mahali pa kazi ni tatizo linaloongezeka, huku msongo wa mawazo sugu ukihusishwa na uchovu na kupungua kwa uwezo wa kufanya kazi kabsa. Wataalamu wanapendekeza mikakati kadhaa in…
Shinikizo la damu ni msukumo wa damu kwenye kuta za mishipa. Shinikizo la damu laweza kupimwa kwa ukanda wa mpira unaoweza kujazwa hewa. Ukanda huo hufungwa kwenye sehemu ya juu ya mkono na kuun…
Uchovu bila sababu ya moja kwa moja unaweza kutokana na mambo mengi — kimwili, kiakili au hata kihisia. Hata kama haujaumwa, mwili unaweza kuwa unahitaji marekebisho madogo ya mtindo wa maisha. …
Kutokwa na damu wakati wa haja kubwa chanzo na Tiba Kutokwa na damu wakati wa haja kubwa (rectal bleeding) kunaweza kusababishwa na mambo mbalimbali, kutoka matatizo madogo hadi makubwa zaidi. H…