Head

RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kufuatia ajali iliyotokea Same

DAR ES SALAAM;RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kufuatia ajali iliyotokea jana Same mkoani Kilimanjaro, huku akiwataka madereva waendelee kuzingatia kwa umakini mkubwa sheria za u…

TANZIA: Watu 36 wafariki dunia kwa ajali wilayani Same,Magari yawaka moto

Ajali hiyo  imetokea leo Jumamosi  Juni 28,2025  ikihusisha basi la abiria kampuni ya Chanel One lililokuwa likitokea Moshi kwenda Tanga na Toyota coaster lilikuwa likitokea Same kwenda Moshi. …

Raia wa Togo ni miongoni mwa watu waliokuwemo katika ajali ARUSHA

Raia wa Togo ni miongoni mwa watu waliokuwemo katika ajali iliyotokea Februari 25. 2024 katika eneo la Ngaramtoni mkoani Arusha na kusababisha vifo vya watu 25 na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa.…

Idadi waliofariki dunia kwenye Ajali Arusha yafika 25

Idadi waliofariki dunia kwenye Ajali Arusha yafika 25 Gari la Shule ya Mchepuo wa Kiingereza ya New Vision, likinyanyuliwa baada ya kugongwa na lori katika eneo la Kibaoni (Ngaramtoni), wilayani…

Load More Posts That is All