Head

Je,Unaogopa Kula Nyanya? unajua una hali gani ya kiafya? Food phobia

Je,Unaogopa Kula Nyanya? unajua una hali gani ya kiafya? Food phobia Dunia ina mambo… kuna watu wanaogopa kula kama vile ni sumu! Hii si utani—kuna hali ya kisaikolojia inaitwa food phobia , …

Mikakati mitano ya kuimarisha utekelezaji wa afua za lishe, Tanga

Tanga: Halmashauri ya Mji Handeni imeainisha mikakati mitano ya kuimarisha utekelezaji wa afua za lishe, ili kukabiliana na changamoto za utapiamlo na kupunguza idadi ya watoto wanaozaliwa wakiw…

Kwanini Usitumie chumvi nyingi sana,hizi hapa ni Sababu kuu

Kwanini Usitumie chumvi nyingi sana,hizi hapa ni Sababu kuu Sababu kuu za kuto kutumia chumvi nyingi sana ni kwamba chumvi (hasa chumvi ya kawaida – sodium chloride ) ikizidi mwilini inaleta ma…

Vyakula vya kupunguza damu mwilini

Vy akula vya kupunguza damu mwilini Je,Vyakula vya kupunguza damu mwilini ni Vipi? Kwa habari ya vyakula vya kupunguza damu mwilini ni ngumu kupata vyakula ambavyo huweza kupunguza damu moja kw…

Madhara ya Mafuta ya kupikia

Madhara ya Maf uta ya kupikia Tafiti zinaonyesha Idadi ya Watu wanene kupindukia Imeongezeka hivi karibuni, Je,Mafuta ya Kupikia nayo ni chanzo? Soma hapa kufahamu...!!!! Idadi ya watu wanaosu…

Vyakula vya kuongeza damu mwilini

Vyakula vya kuongeza damu mwilini  KUONGEZA WINGI WA DAMU VYAKULA VYA KUONGEZA DAMU KAMA UNA TATIZO LA UPUNGUFU WA DAMU Proteins ndani ya Chembe hai nyekundu za damu maarufu kama Haemoglobin(hb)…

Faida ya supu ya kuku,Soma hapa kila kitu

Faida ya supu ya kuku,Soma hapa kila kitu Je,unapenda Supu ya Kuku? Umewahi kusikia kama wengine huitumia kama dawa? Je,Supu hii ya kuku ina Siri gani ndani yake? Leo katika afyaclass,tumecham…

Faida za Maziwa Mwilini mwako,Fahamu hapa

Maziwa yana faida nyingi kwa mwili wa binadamu kutokana na virutubisho vyake muhimu. Hapa kuna faida kuu za maziwa: 1. Chanzo bora cha kalsiamu Kalsiamu inayopatikana kwenye maziwa inasaidia ku…

Chumvi hutibu nini mwilini mwako?,Fahamu hapa

C humvi hutibu nini mwilini mwako?,Fahamu hapa Chumvi ina matumizi kadhaa katika mwili wa binadamu, lakini inapaswa kutumiwa kwa kiasi kwani matumizi yake kupita kiasi yanaweza kuwa na madhara.…

Watu milioni 730 wanakabiliwa na njaa duniani kote-FAO

Huu ni Ujumbe wa FAO kwa dunia, S iku ya chakula duniani Jana ilikuwa ni siku ya chakula duniani,Tarehe 16 October, ambako huko Roma, Italia makao makuu ya shirika la Umoja wa Mataifa la Chakul…

Nini cha kufanya ikiwa mtu amekula chakula chenye sumu

Nini cha kufanya i kiwa mtu amekula chakula chenye sumu Fahamu kwamba Habari za watu kufariki dunia kutokana na kula chakula chenye sumu kwa hivi Sasa zimeongezeka na kuibua hisia za Umma hasa …

Dalili za Upungufu wa vitamin d,soma hapa kufahamu

D alili za Upungufu wa vitamin d,soma hapa kufahamu Katika makala hii tunazungumzia tatizo la upungufu wa vitamin D mwilini yaani kwa kitaalam Vitamin D deficiency, Kwa  ujumla, vitamin mbali mb…

Lishe ya Kupunguza Uzito Haraka: Jinsi ya Kupunguza Uzito kwa Haraka na kwa Afya

Lishe ya Kupunguza Uzito Haraka: Jinsi ya Kupunguza Uzito kwa Haraka na kwa Afya Kupunguza uzito ni jambo linalohitaji jitihada na kujitolea. Wengi wetu tunahangaika na uzito wa mwili na tunatak…

Vyakula na Vinywaji Vinavyoweza Kusaidia Kupunguza Tatizo la Kupata Choo Kigumu

Vyakula na Vinywaji Vinavyoweza Kusaidia Kupunguza Tatizo la Kupata Choo Kigumu Vyakula na vinywaji vinavyosaidia kupunguza tatizo la kupata choo kigumu hutofautiana kulingana na jinsi mwili wa …

Jinsi ya Kutumia Tangawizi kwa Usalama Wakati wa Ujauzito

Jinsi ya Kutumia Tangawizi kwa Usalama Wakati wa Ujauzito Kipindi cha Ujauzito ni kipindi muhimu katika maisha ya mwanamke, na anapaswa kuzingatia usalama wake na wa mtoto wake. Kuna njia nyingi…

Vyakula 10 Bora kwa Mgonjwa wa Presha

V yakula 10 Bora kwa Mgonjwa wa Presha Kama wewe ni mgonjwa wa Presha, nikiwa na maana presha ya kupanda(High blood pressure), Vyakula hivi hapa ni vizuri zaidi kwako; 1. Ndizi, Ndizi ni chakula…

Vyakula Vya Kuepuka Mama Mjamzito

VYAKULA VYA KUEPUKA MAMA MJAMZITO Je Ni vyakula gani vya kuepuka kula wakati wa ujauzito? Ili mtoto azaliwe akiwa na afya njema pamoja na akili timamu, akiwa tumboni lazima alishwe lishe bora n…

Kahawa huweza Kupandisha Presha(shinikizo la Damu)

Kahawa huweza Kupandisha Presha(shinikizo la Damu) Hushauriwi kutumia kahawa kama tayari una tatizo la Presha ya kupanda, mbali na kwamba baadhi ya watu hutumia kahawa kwa lengo la kupoteza Usi…

Madhara ya kula nyama ya ng'ombe mbichi

Madhara ya kula nyama ya ng'ombe mbichi Ni desturi ya baadhi ya watu kula nyama mbichi, lakini je hii ni Salama kwa afya yako? Kula nyama mbichi yoyote ikiwemo nyama mbichi ya ng'ombe …

Vyakula Vinavyopunguza Kichefuchefu Kwa Wajawazito

VYAKULA VINAVYOPUNGUZA KICHEFUCHEFU KWA WAJAWAZITO(Morning sickness) Mwanamke hupatwa na mabadiliko mengi sana mwilini Wakati wa ujauzito ikiwa ni pamoja na hili la kupatwa na kichefuchefu cha m…

Load More Posts That is All