Showing posts with label chanjo ya homa ya manjano. Show all posts
Showing posts with label chanjo ya homa ya manjano. Show all posts

Siku 4 kabla ya uzinduzi wa Kampeni ya Chanjo ya Homa ya ManjanoAfyaclass Forum •

UGANDA: Siku 4 kabla ya uzinduzi wa Kampeni ya Chanjo ya Homa ya Manjano.

Chanjo ya Homa ya Manjano itatolewa BURE katika wilaya 53 kote nchini Uganda katika vituo vya afya vya Serikali na maeneo yaliyotengwa ya kufikia.

Soma Zaidi Taarifa hii ya Wizara ya afya nchini Uganda;

4 Days to the launch of Yellow Fever Vaccination Campaign.
The Yellow Fever Vaccine will be administered FREE of charge in 53 districts across the country at Gov’t health facilities and designated outreach sites.

Siku 4 kabla ya uzinduzi wa Kampeni ya Chanjo ya Homa ya Manjano
0 Comment
Notification
Karibu Afyaclass Forum Jukwaa linalojadili mambo mbali mbali ikiwemo afya,Magonjwa na Updates Zote,Tembelea hapa kila Siku,Pia Share Maoni yako kwenye jukwaa hili Afyaclass Forum ASANTE.
UNDERSTOOD