Mwanamke mmoja adaiwa kuharibu gari la dereva wa Uber kwa sababu ya kiyoyozi chake kibovu
Mwanamke mmoja wa Nigeria ambaye bado hajatambuliwa jina lake amekamatwa katika jimbo la Lagos nchini Nigeria kwa madai ya kuharibu gari la dereva wa Uber ambaye gari lake walipanda yeye na rafi…