Jumla ya watu 391 wamekufa kutokana na Kipindupindu na ugonjwa wa Dengue SUDAN
Jumla ya watu 391 wamekufa kutokana na Kipindupindu na ugonjwa wa Dengue katika mwaka wa vita nchini Sudan, Wizara ya Afya ya Sudan ilitangaza siku ya Alhamisi. Takriban wagonjwa 11,000 wa Kipin…