Head

Zaidi ya kaya 10,000 katika eneo la Garissa Township zimeathirika na Mafuriko makubwa

Maelfu ya familia katika Kaunti ya Garissa nchini Kenya zimelazimika kuyahama makazi yao kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha pamoja na kuongezeka kwa kina c…

Uwezekano wa mafuriko zaidi waongezeka maeneo ya magharibi mwa Kenya

Idara ya Hali ya Hewa ya Kenya (KMD) imetangaza kuwa mvua zitaendelea kunyesha nchini kote mwezi huu wa Novemba. Katika mtazamo wake wa hali ya hewa, shirika hilo lilisema kuwa mvua zaidi ya was…

Idadi ya watu waliofariki kufuatia mafuriko KENYA imeongezeka hadi kufikia watu 228

#PICHA:Wafanyakazi wa Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya wakiwa katika harakati za uokoaji kufuatia mafuriko. MAMLAKA nchini Kenya zimesema kuwa idadi ya watu waliofariki kufuatia mafuriko…

Kenya Mafuriko, shughuli za baharini zazuiwa tahadhari ya Kimbunga Hidaya

Kenya Mafuriko, shughuli za baharini zazuiwa tahadhari ya Kimbunga Hidaya Wakazi wa kaunti ya Lamu hawataruhusiwa kusafiri baharini kuanzia leo jioni hadi siku ya Jumanne kufuatia tahadhari ya K…

Zaidi ya watu 45 wamefariki dunia nchini Kenya baada ya bwawa kupasua kingo

Zaidi ya watu 45 wamefariki dunia nchini Kenya baada ya bwawa kupasua kingo zake kufuatia mvua kubwa na mafuriko, maafisa wamesema. Watu katika vijiji karibu na Mai Mahiu, yapata kilomita 60 kut…

Load More Posts That is All