Head

Vipele Ukeni: Sababu, Dalili na Wakati wa Kumwona Daktari

Vipele Ukeni: Sababu, Dalili na Wakati wa Kumwona Daktari Vipele au vijitundu vinavyojitokeza sehemu za siri za mwanamke vinaweza kusababishwa na mambo mbalimbali. Baadhi si hatari, lakini vingi…

Ugonjwa wa PCOS (Polycystic Ovary Syndrome): Chanzo, Dalili na Madhara

Ugonjwa wa PCOS (Polycystic Ovary Syndrome): Chanzo, Dalili na Madhara PCOS (Polycystic Ovary Syndrome) ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa homoni kwa wanawake walio katika umri wa uzazi. Ni moja ya…

Tatizo la Uke Kuwa Mkavu,Sababu, Dalili, Matibabu na Ushauri wa Wataalamu

Tatizo la Uke Kuwa Mkavu,Sababu, Dalili, Matibabu na Ushauri wa Wataalamu Tatizo la uke kuwa mkavu ni nini? Tatizo la uke kuwa mkavu (Vaginal Dryness) ni hali ambapo uke hupoteza unyevunyevu wak…

Sababu za Period Kujirudia Mara kwa Mara

Sababu za Period Kujirudia Mara kwa Mara: Fahamu Chanzo na Suluhisho Wanawake wengi hupitia mzunguko wa hedhi kila mwezi , lakini wakati mwingine period inaweza kujirudia mapema kuliko kawaida.…

Ndizi 1 tu husaidia kupunguza na kuondoa Maumivu wakati wa Hedhi

Kwa Mwanamke anayepata maumivu makali wakati wa hedhi anaelewa jinsi maumivu hayo yanavyokuwa. Sasa hapa kuna kitu rahisi ambacho kinaweza kusaidia kidogo - ndizi. Ndizi zina magnesiamu na vitam…

Kupata Damu Ya Hedhi Nyeusi inaashiria nini?

Kupata Damu Ya Hedhi Nyeusi inaashiria nini? Kupata damu ya hedhi nyeusi mara nyingi si tatizo kubwa, bali inaashiria damu ya zamani iliyokaa muda mrefu ndani ya mji wa mimba (uterasi) kabla ya …

Maumivu ya Tumbo chini ya Kitovu kwa Mwanamke

Maumivu ya Tumbo chini ya Kitovu kwa Mwanamke  Watu wengi huhusisha kimakosa maumivu ya tumbo chini ya kitovu kwa wanawake na matatizo ya uzazi pekee. Hii si sahihi. Hali nyingi za kiafya zinawe…

Mbegu kutoka ukeni baada ya tendo chanzo chake na Tiba

Mbegu kutoka ukeni baada ya tendo chanzo chake na Tiba Tatizo la mbegu kutoka nje ya Uke baada ya tendo la ndoa chanzo kikubwa ni nini Tatizo la mbegu kutoka nje baada ya tendo la ndoa ni jambo …

Maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke chanzo na Tiba

Maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke (yanayojulikana kitaalamu kama dyspareunia ) ni tatizo la kawaida linaloweza kusababishwa na mambo mengi ya kimwili au kisaikolojia. Hebu tuchambue k…

Kutokwa na damu wakati wa tendo kwa mwanamke

Kutokwa na damu wakati wa tendo kwa mwanamke Kuna wanawake wengi hupatwa na tatizo hili la kutokwa na damu ukeni wakati au baada ya kufanya mapenzi au tendo la ndoa, Je chanzo cha tatizo hili ni…

kutoa vitu vyeupe ukeni chanzo ni nini?

Kutoa vitu vyeupe ukeni chanzo ni nini? Fahamu Leo katika Makala hii,tumechambua Kila Kitu....... Kutokwa na Uchafu mweupe ukeni huashiria nini? Uchafu mweupe ukeni ukitoka na rangi nyeupe, kuon…

Dalili za ovarian cyst,dalili za uvimbe Maji

Dalili za ovarian cyst (uvimbe maji kwenye ovari) hutegemea ukubwa wa uvimbe na aina yake, lakini mara nyingi zinafanana. Zifuatazo ni dalili kuu zinazoweza kujitokeza: Dalili za Ovarian Cyst…

Sababu za hedhi kuchelewa na kubadilika badilika

Sababu za hedhi kuchelewa na kubadilika badilika Nini kinasababisha hedhi kuchelewa Endapo una aina ya mzunguko wa hedhi ambao haubadiliki badiliki yaani  regular menstrual cycles,  kuna wakati …

Hedhi ya muda mrefu au hedhi mfululizo chanzo chake

Hedhi ya muda mrefu au hedhi mfululizo (inayodumu zaidi ya siku 7 au kurudi mara kwa mara bila kupumzika) mara nyingi ni ishara ya tatizo la kiafya . Sababu zake kuu ni: Vyanzo vya hedhi ya mud…

Jipu kwenye shavu la uke chanzo chake na Tiba

Jipu kwenye shavu la uke chanzo chake na Tiba Jipu kwenye shavu la uke (labia) mara nyingi hutokea kutokana na maambukizi ya bakteria yanayoingia kupitia ngozi au vinyweleo vidogo. Chanzo chake…

Chanzo cha mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa

Chanzo cha mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa (au libido ya chini) kinaweza kuwa kutokana na sababu mbalimbali za kibaiolojia , kisaikolojia , au mazingira . Hapa chini ni maelezo ya baadhi y…

Hatari ya kutoa mimba,Fahamu hapa hatari kubwa ya kufanya hivi

Hatari ya kutoa mimba,Fahamu hapa hatari kubwa ya kufanya hivi. Madhara ya kutoa mimba  Wanawake wengi huanza kukutana na matatizo mengi  baada ya kutoa Mimba ikiwem o ; Kuvuja damu sana na kwa …

Dalili za uvimbe kwenye kizazi pamoja na Chanzo chake

UVIMBE KWENYE KIZAZI NI NINI? Uvimbe kwenye Kizazi ambapo kwa Kitaalam Hujulikana kama " FIBROIDS "- ni aina ya Uvimbe ambao hutokea katika kuta za ndani za Mji wa mimba(Kizazi)au huw…

Ugonjwa wa ovarian cyst,chanzo,dalili na Tiba yake

Ugonjwa wa ovarian cyst,chanzo,dalili na Tiba yake Ovarian Cyst: Chanzo, Dalili na Tiba yake Ovarian Cyst ni nini? Ovarian cyst ni uvimbe maji (au mara chache, unajazwa na vitu vingine) unaoto…

Sababu za Kukosa Hedhi kwa Mwanamke

Sababu za Kukosa Hedhi kwa Mwanamke TATIZO LA MWANAMKE KUKOSA SIKU ZAKE ZA HEDHI Tatizo hili la Mwanamke kukosa siku zake za hedhi kwa kitaalam hujulikana kama Amenorrhea, ambapo huweza kutokea …

Load More Posts That is All