Head

Hali ya Mtoto kuzaliwa na Vidole Vinne Pekee badala ya Vitano

Hali ya Mtoto kuzaliwa na Vidole Vinne Pekee badala ya Vitano Baadhi ya watoto huzaliwa na tofauti za kimaumbile kwenye mikono au vidole(congenital limb differences), hali inayojulikana kama kas…

Mtoto kuwa na macho ya njano,Shida ni nini?

Mtoto kuwa na macho ya njano,Shida ni nini? Mtoto kuwa na macho ya njano mara nyingi huwa ni dalili ya hali inayoitwa Jaundice, inayojulikana pia kama “manjano”. Hali hii hutokea pale mwili unap…

Nyama za Pua kwa Watoto ni Nini? Dalili, Sababu na Tiba Zake

Nyama za Pua kwa Watoto ni Nini? Dalili, Sababu na Tiba Zake Wazazi wengi hujiuliza, “Kwa nini mtoto wangu anapumua kwa shida usiku, anakoroma au ana mafua ya mara kwa mara?” Mara nyingi hali hi…

Mtoto kujisaidia choo cha kijani Chanzo na tiba

Mtoto kujisaidia choo cha kijani Chanzo na tiba kujisaidia choo cha rangi ya kijani ni hali inayowakumba watoto wadogo mara kwa mara, hasa katika kipindi cha awali cha maisha yao. Hali hii inawe…

Kitovu cha mtoto kuchelewa kukauka

Kitovu cha mtoto kuchelewa kukauka  KITOVU cha mtoto mchanga hakikauki,Kinatoa Usaha,Damu,Sababu ni nini? Dalili za hatari kwa Kitovu cha Mtoto Zipo dalili mbali mbali huweza kujitokeza kwenye K…

Kitovu Cha Mtoto kikidondokea sehemu za siri – kinaathiri nguvu za kiume?

Kitovu Cha Mtoto kikidondokea sehemu za siri – kinaathiri nguvu za kiume? Hii si kweli kabisa (ni imani tu). Kitaalamu: Kitovu ni mabaki ya kamba ya uzazi (umbilical cord) Hakihusiani kwa n…

Tatizo la KITOVU cha mtoto mchanga hakikauki,Kinatoa Usaha,Damu

KITOVU cha mtoto mchanga hakikauki,Kinatoa Usaha,Damu,Sababu ni nini? Zipo dalili mbali mbali huweza kujitokeza kwenye Kitovu cha Mtoto wako,Ukiona Dalili hizi,hakikisha Mtoto anapata Msaada, Da…

Kuvimba kwa Uume wa Mtoto kwa Mbele sababu ni ipi?

Kuvimba kwa Uume wa Mtoto kwa Mbele sababu ni ipi? Kuvimba kwa ngozi ya mbele ya uume (govi) kwa mtoto mara nyingi husababishwa na mambo haya: 1. Maambukizi (Balanitis au Balanoposthitis) Hii…

Nyama za puani kwa Watoto,chanzo,dalili na Tiba

N yama za puani kwa Watoto,chanzo,dalili na Tiba Tatizo la nyama za puani ni tatizo ambalo huweza kuwapata watoto pia, hali ambayo husababisha mtoto kupata shida mbali mbali ikiwemo ya Kupumua. …

Kwanini Malaria hushambulia Zaidi Watoto,hasa walio chini ya Miaka 5?

Kwanini Malaria hushambulia Zaidi Watoto,hasa walio chini ya Miaka 5? Malaria hushambulia zaidi watoto , hasa walio chini ya miaka 5, kwa sababu hizi kuu: 1. Kinga yao bado haijakomaa Watoto w…

Sababu za Mtoto kutokaza shingo,Shingo kulegea hizi hapa

Sababu za Mtoto kutokaza shingo,Shingo kulegea hizi hapa Hapa chini nimekuletea sababu kuu zinazoweza kumfanya mtoto asikaze shingo (neck control kuchelewa). Nitakupa pia dalili za tahadhari na …

Ugonjwa wa amoeba kwa watoto na Dalili Zake

Ugonjwa wa amoeba (amoebiasis) kwa watoto husababishwa na kimelea kinachoitwa Entamoeba histolytica . Huathiri zaidi utumbo mpana na wakati mwingine ini. Sababu kuu za maambukizi ya Amiba kwa Wa…

Mtoto kuharisha baada ya kunyonya chanzo na Tiba yake

Mtoto kuharisha baada ya kunyonya chanzo na Tiba yake Mtoto kuharisha baada ya kunyonya inaweza kusababishwa na mambo kadhaa, na inategemea umri wake, aina ya maziwa anayonyonya (ya mama au ya k…

Je, Paracetamol husababisha usonji? fahamu hapa

Je, Paracetamol husababisha usonji? Mnamo Aprili, Waziri wa Afya na Huduma za Kibinadamu wa Marekani, Robert Kennedy Jr., aliahidi kuanzisha mpango mkubwa wa uchunguzi na utafiti wa kisayansi k…

Dalili za Ugonjwa wa Surua kwa Watoto pamoja na Chanzo chake

Dalili za Ugonjwa wa Surua kwa Watoto pamoja na Chanzo chake Ugonjwa huu husababishwa na virusi wa Surua wanaojulikana kama Paramyxovirus na hushambulia mfumo wa kinga ya mwili wa mtoto. Dalil…

Mtoto kujisaidia choo kigumu chanzo nini? Fahamu hapa

Mtoto kujisaidia choo kigumu chanzo nini? Fahamu hapa Mtoto kujisaidia choo kigumu (yaani kupata choo kwa shida au choo kuwa kigumu sana) ni tatizo la kawaida sana kwa watoto, hasa wa umri wa mi…

Tatizo la mgongo wazi,kwa watoto Chanzo,dalili na Tiba yake

Tatizo la mgongo wazi,kwa watoto Chanzo,dalili na Tiba yake Tatizo la mgongo wazi(Spinal bifida) ni hali ambayo mtoto anazaliwa nayo huku Sehemu ya uti wa mgongo ikiwa wazi kutokana na mifupa au…

Dalili ya nimonia kwa mtoto,Fahamu hapa

Dalili ya nimonia kwa mtoto,Fahamu hapa Ugonjwa wa nimonia kwa watoto husababishwa na nini? Soma mpaka mwisho makala hii Dalili za nimonia kwa mtoto, Fahamu hapa Nimonia(Pneumonia)  ni maambukiz…

Ugonjwa wa nimonia kwa watoto husababishwa na nini?

Ugonjwa wa nimonia kwa watoto husababishwa na nini? Dalili za nimonia kwa mtoto, Fahamu hapa Nimonia(Pneumonia)  ni maambukizi ya mapafu ambayo husababishwa na virusi au bakteria, Vijidudu hivi …

Meno ya Mtoto kuwa na nafasi au kuachana

Meno ya Mtoto kuwa na nafasi au kuachana Hali ya Meno ya Mtoto mchanga kuachana au kuwa na Nafasi wakati yanaota ni hali ambayo kitaalam hujulikana kama diastema, Hivo basi, diastema ni pengo a…

Load More Posts That is All