Wanasaikolojia watoa ‘tiba’ utulivu wa akili kwa hivi sasa,nini cha kufanya
WANASAIKOLOJIA nchini wameshauri jamii kutafuta utulivu wa kiakili kwa kutoka nje ya makazi yao ili kukutana na watu wengine na kuona namna hali ya usalama ilivyorejea jambo litakalowasaidia kuw…