Head

Mlipuko wa Kipindupindu Waua Zaidi ya Watu 40 Borno, Nigeria

Mlipuko wa Kipindupindu Waua Zaidi ya Watu 40 Borno, Nigeria Jimbo la Borno nchini Nigeria linakabiliwa na mlipuko mkubwa wa ugonjwa wa kipindupindu (cholera) ambao umeua zaidi ya watu 40 na ku…

Maji machafu ni chanzo cha Ugonjwa wa Kipindupindu

Maji machafu au yasiyochemshwa yanaweza kusababisha kipindupindu. Hii ni kwa sababu vimelea vya Vibrio cholerae (bakteria wanaosababisha kipindupindu) huishi na kusambaa kupitia maji na chakula …

Watu 40 wafariki kwa kipindupindu Darfur

W atu 40 wafariki kwa kipindupindu nchini Darfur Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limeripoti kwamba takriban watu 40 wamefariki katika eneo la Darfur nchini Sudan kutokana na mlipuko …

Ugonjwa wa Kipindupindu watesa Afrika Magharibi na Kati – DRC ikiwa Kitovu cha Mlipuko

Ugonjwa wa Kipindupindu watesa Afrika Magharibi na Kati – DRC ikiwa Kitovu cha Mlipuko Wakati mvua zikiripotiwa kuanza kunyesha katika maeneo mbalimba ya Afrika Magharibi na Kati, shirika la Um…

Mtu mmoja amefariki, Na 5 wamelazwa hospitalini huku Kipindupindu kikienea katika Jimbo la Ogun,NIGERIA

Kipindupindu kimegharimu maisha ya mwanamke mwenye umri wa miaka 62 huko Ijebu-Igbo, eneo la Serikali ya Mtaa ya Ijebu Kaskazini katika Jimbo la Ogun,Nchini Nigeria. Mwanamke aliyefariki aliamb…

Watu 10 wafariki kwa kipindupindu Kagera

Watu 10 wafariki kwa kipindupindu Kagera Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa akizungumza wakati wa kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa huo leo Machi 6, 2024. Picha na Ananias Khalula Ugonjwa wa…

Mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu kwa mara ya pili watokea SIMIYU

Mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu kwa mara ya pili watokea SIMIYU SIMIYU; Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dk Yahaya Nawanda, amepiga marufuku watu kula kwenye misiba, kutokana na kuibuka tena kwa ugonjw…

Upatikanaji wa maji safi na salama kupunguza magonjwa ya mlipuko

Upatikanaji wa maji safi na salama kupunguza magonjwa ya mlipuko Na WAF – Simiyu Wizara ya Afya, Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kwa ufadhili wa Umoja wa Ulaya (EU), kwa pamoja kupitia mradi w…

Fahamu hapa,Masharti mapya ya kukabiliana na kipindupindu pamoja na ‘red eyes’

Fahamu hapa,Masharti mapya ya kukabiliana na kipindupindu pamoja na ‘red eyes’ Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu amezitaka nyumba za ibada kusitisha utaratibu wa waumini wake kushika…

Zambia imepokea dozi milioni 1.4 za chanjo kwa ajili ya ugonjwa wa kipindupindu

Zambia imepokea dozi milioni 1.4 za chanjo kwa ajili ya ugonjwa wa kipindupindu. Zambia imepokea dozi milioni 1.4 za chanjo zitakazosaidia kupambana na ugonjwa wa kipindupindu uliolilikumba taif…

Mpaka Sasa Mikoa Sita ya Tanzania ina kipindupindu

Mpaka Sasa Mikoa Sita ya Tanzania ina kipindupindu. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa taarifa ya hali ya utoaji huduma za afya nchini kwa mwaka 2023 katika mkutano wake na Waandishi wa Habari J…

Watu watano wabainika kuwa na vimelea vya Ugonjwa wa kipindupindu Kahama Shinyanga

Watu watano wabainika kuwa na vimelea vya Ugonjwa wa kipindupindu Kahama Shinyanga. Watano wathibitika kuugua, 13 walazwa na 452 waliochangamana na wagonjwa wafuatiliwa na watalaamu wa afya Shin…

Kesi za kipindupindu nchini Zambia zazidi 3,000

Kesi za kipindupindu nchini Zambia zazidi 3,000 Idadi ya kesi za kipindupindu nchini Zambia imeongezeka na kufikia 3,189 tangu mlipuko wa ugonjwa huo ulipotokea mwezi Januari mwaka jana 2023. Ma…

Load More Posts That is All