Ukeketaji kwa watoto bado ni tatizo wasema kina mama Gambia
Hulay Damba,ni mama mwenye umri wa miaka 55, kwa miaka mingi akitekeleza vitendo vya ukeketaji au FGM kwa wasichana katika jamii yake huko Basse, Gambia. Jukumu lake kama ngariba lalirithi kut…