Head

Utafiti:Utapiamlo unaweza kusababisha aina mpya ya kisukari

Utafiti:Utapiamlo unaweza kusababisha aina mpya ya kisukari Utafiti mpya uliochapishwa katika jarida la The Lancet Global Health unaonyesha kuwa zaidi ya watu milioni 25 duniani wanaishi na aina…

El Niño yapelekea ongezeko la viwango vya njaa na utapiamlo Malawi

El Niño yapelekea ongezeko la viwango vya njaa na utapiamlo Malawi #PICHA:Majaribio ya upandaji maharagwe yanayostahimili ukame nchini Malawi. (Maktaba) Takriban watu milioni tisa nchini Malawi …

Mtoto mwenye umri wa mwaka 1 anafanyiwa uchunguzi wa matibabu kama kuna dalili za utapiamlo

#PICHA;Mtoto mwenye umri wa mwaka 1 anafanyiwa uchunguzi wa matibabu kama kuna dalili za utapiamlo katika kituo cha mapokezi kwenye mpaka wa Sudan na Sudan Kusini. Shirika la Umoja wa Mataifa la…

Udumavu ni nini?chanzo,dalili na Tiba yake

Udumavu ni nini?chanzo,dalili na Tiba yake Udumavu ni tatizo la kiafya linalotokana na utapiamlo wa muda mrefu, hususani katika kipindi cha ukuaji wa mtoto, kutoka mimba hadi miaka mitano ya k…

SUDAN: Zaidi ya visa 10,000 vya kipindupindu vyaripotiwa na visa 5,000 vya surua

#PICHA:Mtoto wa mwaka mmoja anatibiwa utapiamlo katika Kituo cha Afya cha Abu Sunun nchini Sudan. SUDAN: Zaidi ya visa 10,000 vya kipindupindu vyaripotiwa na visa 5,000 vya surua. Nchini Sudan a…

Load More Posts That is All