Mwenyekiti mpya Wa Bodi NSSF, NIMR Na Mkurugenzi GBT,Uteuzi wa leo

#1

Rais Samia Afanya Uteuzi Wa Mwenyekiti Wa Bodi NSSF, NIMR Na Mkurugenzi GBT

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Yunus Daud Mgaya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana ya Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka.

Prof. Mgaya ni Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR).

Consultation ya Afya Moja kwa Moja

Mimi ni Dr. Ombeni Mkumbwa. Nakupa ushauri wa kitaalamu kuhusu tatizo lolote la kiafya kwa siri, haraka na uhakika.

WhatsApp

Changia Mada hapa(Reply)


image quote pre code