Afyaclass TANZIA: Mwigizaji Mkongwe wa Nigeria Amaechi Muonagor amefariki baada ya kuugua magonjwa mbalimbali ikiwemo figo kufeli

TANZIA: Mwigizaji Mkongwe wa Nigeria Amaechi Muonagor amefariki baada ya kuugua magonjwa mbalimbali ikiwemo figo kufeli.

Mwigizaji Mkongwe wa Nollywood Nigeria Amaechi Muonagor (62) amefariki baada ya kuugua magonjwa mbalimbali huku kufeli kwa figo yake kukitajwa pia kama sehemu ya chanzo cha kifo chake.

Ripoti za kifo chake zimegusa hisia za Watu wengi hasa kutokana na video yake kusambaa hivi karibuni akiomba Watu wamchangie ili asafiri nje ya Nigeria kwa ajili ya matibabu ambapo tayari Watu mbalimbali wa ndani na nje ya Nigeria walianza kumchangia.

Kifo cha Amaechi kinakuja wiki chache tangu kilipotokea kifo cha Legend mwingine wa Nollywood Mr. Ibu ambaye alifariki March 02,2024 akiwa anapatiwa matibabu Jijini Lagos, Nigeria.

You, Mehreen and others
Hashtag:

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
My blog is in the process of editing and perfecting the new template, so there are still some functions to click but not yet used. Note which blogs associated with your side please read this lesson to update the blog logo.
UNDERSTOOD