Afyaclass Mwanamke achapisha bango na kuita jamii yake baada ya kuwa wa Kwanza kupanda Ndege kwenye jamii nzima

Mwanamke achapisha bango na kuita jamii yake baada ya kuwa wa Kwanza kupanda Ndege kwenye jamii nzima

Mwanamke mmoja amechapisha bango na kuita jamii yake kusherehekea naye kwa kuwa "mwanamke wa kwanza kuingia kwenye ndege" katika jamii yake.

Mwanamke huyo amekuwa gumzo sana kwenye mitandao baada ya kusherehekea kuwa "mwanamke wa kwanza katika jamii yake kusafiri kupitia ndege."

Gold Ike aliingia kwenye ukurasa wa Facebook siku nne zilizopita ili kushiriki video yake akipiga picha mbele ya ndege. 

Kisha, Jumapili, Aprili 6, alifanya Sherehe na kuwaalika watu wa jamii yake kusherehekea pamoja naye. 

 Pia alichapisha  bango ambalo lilikuwa limeandikwa: "Mwanamke wa kwanza kuingia kwenye ndege katika jamii yangu". 

Wageni waliohudhuria sherehe yake walipiga picha na bango hilo. 

JE,WEWE UNAIONAJE HII? NI SAHIHI AU KAKOSEA?






You, Mehreen and others

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
My blog is in the process of editing and perfecting the new template, so there are still some functions to click but not yet used. Note which blogs associated with your side please read this lesson to update the blog logo.
UNDERSTOOD