Afyaclass Bongo Social Boni Mwaitege kufariki dunia,akanusha Taarifa hizi VIDEO

Baada ya kuzuka kwa Taarifa zinazohusishwa na kifo cha Mwimbaji wa Nyimbo za Injili; Boni Mwaitege

Yeye mwenyewe kajitokeza na kukanusha Taarifa hizi zilizosababisha Taharuki kubwa miongoni mwa Watu.

Tazama hapa;

You, Mehreen and others
Hashtag:

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
Karibu Afyaclass Bongo Social Jukwaa linalojadili mambo mbali mbali ikiwemo afya,Magonjwa na Updates Zote,Tembelea hapa kila Siku,Pia Share Maoni yako kwenye jukwaa hili Afyaclass Bongo Social ASANTE.
UNDERSTOOD