Madhara ya kuongeza uume, Soma hapa kufahamu Ukweli wa mambo
Madhara ya kuongeza uume, Soma hapa kufahamu Ukweli wa mambo
Makala hii inakupa ufafanuzi kuhusu Madhara ya kuongeza uume kwa wale wanaojaribu kufanya hivo,Soma hapa zaidi..
Kabla ya hapo,Zijue kwanza SIZE mbali mbali za Uume kwa kusoma hapa chini
• Soma Zaidi hapa Kuhusu SIZE mbali mbali za uume.
Madhara ya kuongeza uume
Ukweli ni kwamba kwa Zama na hivi Sasa,Wapo vijana wengi Sana ambao huhangaikia maumbile yao, hasa wengi wao wakihitaji kuongeza Size au Ukubwa wa Uume,
Je, Kuna Madhara ya Kuongeza Uume?
Ndyo,Madhara yapo, Madhara ya Kuongeza Uume hutofautiana kati ya mwanaume mmoja na mwingine kulingana na aina ya njia alizotumia ili kuongeza Uume wake.
- Wapo ambao wanautumia Dawa mbali mbali,
- Wapo wanaofanya Upasuaji n.k
Hivo basi, Madhara ya Kuongeza Uume hutofautiana kulingana na aina ya njia Ulizotumia.
Madhara ya kuongeza Uume kwa Ujumla wake ni Pamoja na;
- Kusababisha tatizo la Kuvimba kwa Tisu za kwenye uume
- Kuleta tatizo la maumivu ya uume ambayo hayaishi
- Kuongeza hatari ya kupata maambukizi ya magonjwa mbali mbali, hasa kama njia ya kuongeza uume imehusisha upasuaji n.k
- Kusababisha uharibifu wa tisu za kwenye uume yaani penile tissue,
- Hali ambayo huweza kupelekea uwepo wa tatizo lingine la upungufu mkubwa wa nguvu za kiume
- Uume kushindwa Kusimama vizuri
- Kuharibu vimishipa vidogo vya damu kwenye uume
- kuharibu mfumo wa nerves na kusababisha uume kukosa hisia zaidi wakati wa tendo
- Kupoteza fedha nyingi pasipo mafanikio n.k
FAQs: Maswali ambayo huulizwa mara kwa mara
Je, Kuna Madhara ya Kuongeza Uume?
Ndyo,Madhara yapo, Madhara ya Kuongeza Uume hutofautiana kati ya mwanaume mmoja na mwingine kulingana na aina ya njia alizotumia ili kuongeza Uume wake.
Hitimisho
Kuna Madhara mbali mbali ya kuongeza Uume, Madhara ya Kuongeza Uume hutofautiana kati ya mwanaume mmoja na mwingine kulingana na aina ya njia alizotumia ili kuongeza Uume wake.
Madhara ya kuongeza Uume kwa Ujumla wake ni Pamoja na;
- Kusababisha tatizo la Kuvimba kwa Tisu za kwenye uume
- Kuleta tatizo la maumivu ya uume ambayo hayaishi
- Kuongeza hatari ya kupata maambukizi ya magonjwa mbali mbali, hasa kama njia ya kuongeza uume imehusisha upasuaji n.k
- Kusababisha uharibifu wa tisu za kwenye uume yaani penile tissue,
- Hali ambayo huweza kupelekea uwepo wa tatizo lingine la upungufu mkubwa wa nguvu za kiume
- Uume kushindwa Kusimama vizuri
- Kuharibu vimishipa vidogo vya damu kwenye uume
- kuharibu mfumo wa nerves na kusababisha uume kukosa hisia zaidi wakati wa tendo
- Kupoteza fedha nyingi pasipo mafanikio n.k
Ni matumaini yangu kwamba umepata ufahamu kuhusu madhara ya Kuongeza Uume.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!