Afyaclass Bongo Social Mtu pekee aliyenusurika katika Ajali ya Ndege ya Air India abeba Jeneza la Kaka Yake


Ni mtu pekee aliyenusurika katika ajali ya ndege ya Air India ndiye anaonekana akiwa amebeba jeneza la kaka yake wakati mazishi yakiendelea

Muingereza Vishwash Kumar Ramesh, 40, alinusurika kimiujiza kwenye Ajali ya ndege iliyokuwa na abiria 242 na wafanyakazi ndani ya ndege hiyo.

Vishwash Kumar Ramesh aliyenusurika katika Ajali ya Air India alibeba jeneza la kaka yake hadi saa za mazishi yake baada ya kuruhusiwa kutoka hospitalini. 

You, Mehreen and others

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
Karibu Afyaclass Bongo Social Jukwaa linalojadili mambo mbali mbali ikiwemo afya,Magonjwa na Updates Zote,Tembelea hapa kila Siku,Pia Share Maoni yako kwenye jukwaa hili Afyaclass Bongo Social ASANTE.
UNDERSTOOD