Wachumba wafunga ndoa kwenye Mafuriko,bila kujali Mvua kubwa kunyesha

Wachumba wafunga ndoa kwenye Mafuriko,bila kujali Mvua kubwa kunyesha

#1

Nchini Nigeria,Wachumba wamefunga ndoa yao katika ukumbi uliojaa maji,kwa Sababu ya Mvua kubwa iliyosababisha mafuriko.

 Katika tukio hilo la aina yake, ambalo limetafsiriwa kama moyo wa upendo kwa wanandoa hao, Bw. na Bibi Nsima, 

ambao walifanya harusi yao ya kitamaduni huku mvua kubwa ikinyesha katika jamii ya Ibiaku Awat Nkang kwenye Eneo la Serikali ya mtaa ya Ibiono Ibom katika Jimbo la Akwa Ibom.

Wakati wa harusi hiyo iliyofanyika Alhamisi, Juni 19, 2025, wageni, wanafamilia na marafiki walionekana wakicheza dansi, kwa ujumla wakiwa na furaha na kupiga picha kwenye ukumbi wa harusi uliofurika maji.





Related Discussions

REPLY HAPA


image quote pre code