Afyaclass Watu nane wamefariki dunia katika ajali ya puto la hewa moto

Tukio:Watu nane wamefariki dunia katika ajali ya puto la hewa moto nchini Brazil siku ya jana. 



Gavana wa Santa Catarina Jorginho Mello amesema kulikuwa na watu 21 kwenye puto hilo waliokuwa wakitalii jiji la Praia Grande Jumamosi asubuhi. Watu kumi na watatu akiwemo rubani walinusurika.

You, Mehreen and others

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
Karibu Afyaclass Forum Jukwaa linalojadili mambo mbali mbali ikiwemo afya,Magonjwa na Updates Zote,Tembelea hapa kila Siku,Pia Share Maoni yako kwenye jukwaa hili Afyaclass Forum ASANTE.
UNDERSTOOD