Mama awaua wanawe wadogo siku chache baada ya mumewe kufariki kwa saratani

Mama awaua wanawe wadogo siku chache baada ya mumewe kufariki kwa saratani

#1

Mama mwenye umri wa miaka 27, akiri kuwaua wanawe wadogo siku chache baada ya mumewe wa miaka 72 kufariki kwa ugonjwa wa saratani

Mama "aliyevunjika moyo na kukata tamaa" aliwaua wanawe wawili wadogo siku chache baada ya mumewe kufariki na saratani,ili wote "waungane tena Mbinguni."

Vanessa Collias, 27, alilia mahakamani Jumatatu, Novemba 17, alipokiri hatia ya kuwaua wanawe Yiannis, 5, na Dimitri, 4, mnamo Desemba 2023, siku tisa tu baada ya mumewe wa miaka 72, Costa, kufariki kutokana na aina kali ya leukemia, kulingana na Toronto Star.

Changia Mada hapa(Reply)


image quote pre code