DiscussionsAfyaclass Social Ask Hivi Ukiambiwa Dawa hii kunywa Asubuh na jion maana yake,ni muda gani wa kutumia? #Afyaclass Social Ask, #Author-John Macha Afyaclass Bongo Social -May 17, 2026 1 Replies Hivi Ukiambiwa Dawa hii kunywa Asubuh na jion maana yake,ni muda gani wa kutumia?Swali hili Naomba kupata Ufafanuzi.. 0 0 1
Muda Sahihi wa kutumia Dawa ni kama ifuatavyo;
ReplyDelete1.Ukiambiwa Kutwa mara 3
Ni kila baada ya Saa 8 unatumia dawa
2.Kutwa mara 2 ni kila baada ya Saa 12 unatumia dawa
3. Na kutwa mara 1 unatumia kila baada ya Saa 24.
Post a Comment