Wananiita jina Maarufu Black Mamba kutoka Geita,Nauliza hivi ni Jinsi gani ya kupata pesa mtandaoni?

...See more

3 Comments

  1. Zipo njia nyingi sana Mkuu,Saivi majukwaa yote yana hela,Facebook,Instagram,youtube,Google kama hapa n.k.

    ReplyDelete
  2. Kengeneza pesa mtandaoni ukiwa Tanzania kuna njia mbalimbali ambazo unaweza kuzitumia kulingana,Baadhi ya njia bora za kupata kipato mtandaoni:

    1. Uandishi wa Maudhui (Content Writing & Blogging)
    Unaweza kuandika makala kwa ajili ya blogu, tovuti, au magazeti ya mtandaoni.
    Jiunge na majukwaa kama Upwork, Fiverr, au PeoplePerHour kupata kazi za uandishi.
    Unaweza pia kuanzisha blogu yako na kutengeneza kipato kupitia matangazo (Google AdSense), affiliate marketing, au kuuza bidhaa zako.
    2. YouTube na Uundaji wa Video
    Tengeneza na pakia video za kuvutia kwenye YouTube.
    Pata kipato kupitia matangazo ya YouTube (AdSense), udhamini (sponsorships), na kuuza bidhaa au huduma.
    Video zinazovutia zaidi ni za elimu, burudani, teknolojia, na afya.
    3. Affiliate Marketing
    Promoti bidhaa za watu wengine na upate kamisheni kwa kila mauzo yanayofanyika kupitia link yako.
    Jiunge na programu za affiliate kama Amazon Associates, Jumia, ClickBank, na Hostinger.
    Tumia blogu, YouTube, au mitandao ya kijamii kama Instagram na Facebook kuendesha affiliate marketing.

    Read more: https://www.afyaclass.com/2025/04/jinsi-ya-kutengeneza-pesa-mtandaoni.html

    ReplyDelete

Post a Comment

Related Discussions...