Midomo kuwa mekundu sana na kukauka mara kwa mara kunaweza kusababishwa na vitu mbalimbali, baadhi ni vya kawaida na vingine huhitaji uchunguzi wa daktari. Sababu zinazotokea sana ni: 1.Kukosa maji mwilini 2.Kulamba midomo mara kwa mara 3.Hali ya hewa ya jua/kavu 4.Aleji ya toothpaste, lipstick, au mafuta ya midomo,au vitu vingine 5.Upungufu wa vitamini kama B12 au iron 6.Fangasi au maambukizi madogo kwenye midomo 7.Kutumia dawa zenye kukausha ngozi 8.Kuvuta sigara au kutumia vitu vyenye kemikali kali
MAMBO YA KUFANYA KUSAIDIA: -Kunywa maji ya kutosha kila siku -Tumia mafuta ya midomo yenye unyevunyevu kama petroleum jelly/Vaseline -Epuka kulamba midomo -Badili toothpaste kama unahisi inaunguza -Kula vyakula vyenye vitamini B na iron n.k
Ukiona dalili hizi, ni vizuri kumuona daktari au wasiliana nasi kwa namba +255758286584:
-Midomo kupasuka sana au kutoka damu -Vidonda, usaha, au maumivu makali -Kuvimba -Hali kudumu zaidi ya wiki 2–3 -Kuwasha sana au ngozi kuzunguka mdomo kubadilika rangi
Hii Wasiliana na Madaktari wa Afyaclass,ikiwemo Doctor Ombeni watakusaidia
ReplyDeleteMidomo kuwa mekundu sana na kukauka mara kwa mara kunaweza kusababishwa na vitu mbalimbali, baadhi ni vya kawaida na vingine huhitaji uchunguzi wa daktari. Sababu zinazotokea sana ni:
ReplyDelete1.Kukosa maji mwilini
2.Kulamba midomo mara kwa mara
3.Hali ya hewa ya jua/kavu
4.Aleji ya toothpaste, lipstick, au mafuta ya midomo,au vitu vingine
5.Upungufu wa vitamini kama B12 au iron
6.Fangasi au maambukizi madogo kwenye midomo
7.Kutumia dawa zenye kukausha ngozi
8.Kuvuta sigara au kutumia vitu vyenye kemikali kali
MAMBO YA KUFANYA KUSAIDIA:
-Kunywa maji ya kutosha kila siku
-Tumia mafuta ya midomo yenye unyevunyevu kama petroleum jelly/Vaseline
-Epuka kulamba midomo
-Badili toothpaste kama unahisi inaunguza
-Kula vyakula vyenye vitamini B na iron n.k
Ukiona dalili hizi, ni vizuri kumuona daktari au wasiliana nasi kwa namba +255758286584:
-Midomo kupasuka sana au kutoka damu
-Vidonda, usaha, au maumivu makali
-Kuvimba
-Hali kudumu zaidi ya wiki 2–3
-Kuwasha sana au ngozi kuzunguka mdomo kubadilika rangi
Post a Comment
Related Discussions...