Ajali wami,ajali mto wami Vifo kuhofiwa kutokea

Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia huku wengine wakijeruhiwa katika ajali iliyotokea usiku wa leo Juni 7, 2026 ikihusisha magari matatu katika Daraja la Mto wa Wami, Mkoa wa Pwani.

Kwa mujibu wa Mashuhuda wamedai kwamba Dereva wa gari ndogo aina ya Toyota Hilux namba za usajili ikiwa bado hazijajulikana, alikuwa anaikwepa gari ya kubebea mafuta akajikuta anaparamia gari jingine la mafuta na kubanwa.

Bado tunaendelea kulitafuta Jeshi la Polisi kwa ajili ya ripoti zaidi.Via MillardAyoUPDATES

Reply

Discussions