Gari la rais wa Marekani kwa jina maarufu ''The Beast'' limetajwa kuwa gari salama zaidi duniani.
Gari hilo aina ya Cadillac lenye uzito wa takriban kilo 9000 ambalo kila mara rais anapokuwa katika ziara ya kigeni husafiriswa na ndege ya Airfoce One na kusimamiwa na kitengo cha ujasusi cha Marekani limedaiwa kumiliki vipengele vinavyoweza kumlinda rais wa taifa hilo lenye uwezo mkubwa duniani iwapo kutatokea shambulizi.
Gari la rais wa Marekani kwa jina maarufu ''The Beast'' limetajwa kuwa gari salama zaidi duniani.
ReplyDeleteGari hilo aina ya Cadillac lenye uzito wa takriban kilo 9000 ambalo kila mara rais anapokuwa katika ziara ya kigeni husafiriswa na ndege ya Airfoce One na kusimamiwa na kitengo cha ujasusi cha Marekani limedaiwa kumiliki vipengele vinavyoweza kumlinda rais wa taifa hilo lenye uwezo mkubwa duniani iwapo kutatokea shambulizi.
Post a Comment