Hali ya Hewa Leo,Utabiri wa hali ya Hewa Tanzania

HALI YA HEWA TANZANIA

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote; Kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini Mashariki kwa Pwani ya Kusini. Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa Kiasi.

Links Source:

https://www.meteo.go.tz/twenty_four_forecasts

...See more

Reply

Discussions