Jinsi ya Kuangalia Selection za Vyuo vya Kati

Kwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya kati (Diploma au Certificate), matokeo hupatikana kupitia taasisi husika na mfumo wa NACTVET.

Tovuti rasmi ya NACTVET:

Hatua za kuangalia:

  1. Tembelea tovuti ya NACTVET hapo juu.
  2. Angalia matangazo ya udahili (Admissions).
  3. Ingia kwenye mfumo au fuatilia maelekezo ya chuo ulichoomba.
  4. Tumia namba ya simu au taarifa ulizotumia wakati wa maombi ikiwa zinahitajika.

Links Muhimu:

TAMISEMI Selform: https://selform.tamisemi.go.tz/

NACTVET Admissions: https://www.nactvet.go.tz/page/students-admission

Tovuti Kuu ya TAMISEMI: https://www.tamisemi.go.tz/

...See more

Reply

Discussions