Kombe la Dunia 2026 linaanza tarehe 11 Juni 2026 na kumalizika tarehe 19 Julai 2026. Mechi ya ufunguzi itachezwa Mexico City, Mexico. Mashindano yataandaliwa na Mexico, Marekani na Canada.
Mashindano ya mwaka 2026 ni ya kipekee kwa sababu yataandaliwa kwa pamoja na nchi tatu:
- Mexico
- Marekani
- Na Canada
Pia itakuwa Kombe la Dunia la kwanza kushirikisha timu 48 badala ya 32.
Links:
FIFA (Ratiba rasmi): https://www.fifa.com/en/tournaments/mens/worldcup/canadamexicousa2026/scores-fixtures
FIFA (Taarifa za mashindano): https://www.fifa.com/en/tournaments/mens/worldcup/canadamexicousa2026
...See more


Post a Comment