Majina ya Waliochaguliwa Form Five,Form Five Selection 2026/2027
Wanafunzi na wazazi wanaweza kuangalia majina moja kwa moja kwenye tovuti rasmi ya TAMISEMI bila malipo yoyote. Hii ndiyo hatua za kufuata:
1.Tembelea tovuti rasmi: https://selform.tamisemi.go.tz/ au moja kwa moja https://selform.tamisemi.go.tz/content/selection-and-allocation.
2.Chagua chaguo la “Uchaguzi wa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati”.
3.Chagua “Selection Version” (k.m. First Selection 2026 au mwaka unaofaa inapokuwa imetangazwa).
4.Tafuta kwa kutumia:
Namba ya mtihani (Index Number au Examination Number).
Jina la mwanafunzi.
Kituo cha mtihani (Examination Center).
Bonyeza “Search” au “View” kuona maelezo kamili – shule uliyopangiwa, tahasusi (combination), na maelekezo ya kujiunga.
Ikiwa selection haijapatikana bado, angalia mara kwa mara au fuatilia tangazo rasmi kwenye tovuti ya TAMISEMI (www.tamisemi.go.tz) au NECTA (www.necta.go.tz).


Post a Comment