Matokeo ya Mechi: Fainali ya AFCON U-17 2026,serengeti boys vs senegal 

🇹🇿 Tanzania U-17 1–1 Senegal U-17 🇸🇳
(Dakika 90 za kawaida)

Wafungaji

  • Tanzania: Hamis Chenga (Dakika ya 7)
  • Senegal: Ibrahima Dione (Dakika ya 64)

Mikwaju ya Penalti

  • Senegal 4–2 Tanzania

Matokeo ya Mwisho 🥇 Senegal U-17 – Mabingwa wa AFCON U-17 2026
🥈 Tanzania U-17 – Washindi wa Pili

Licha ya kupoteza kwa penalti, Serengeti Boys wameandika historia kwa kufika fainali ya AFCON U-17 kwa mara ya kwanza kabisa na kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kufika hatua hiyo katika mashindano makubwa ya CAF.

Mchezo wa fainali ulifanyika katika Uwanja wa Moulay El Hassan mjini Rabat, Morocco, tarehe 2 Juni 2026.

Reply

Discussions