Head

Mkuu wa WHO Atembelea Uganda Kupambana na Ebola

Mkuu wa WHO Atembelea Uganda Kupambana na Ebola Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, yuko nchini Uganda kufuatilia juhudi za kudhibiti mlipuko wa Ebola …

Ebola Yaendelea Kusambaa Afrika ya Kati, Visa Vyakaribia 500

Ebola Yaendelea Kusambaa Afrika ya Kati, Visa Vyakaribia 500 Mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaendelea kuleta hofu katika mataifa ya Afrika ya Kati baada ya idadi ya visa vilivyothibitishwa kufiki…

WHO Yaonya,Hofu na Imani Potofu Vinakwamisha Mapambano Dhidi ya Ebola DRC

WHO Yaonya,Hofu na Imani Potofu Vinakwamisha Mapambano Dhidi ya Ebola DRC Shirika la Afya Duniani (WHO) limeeleza kuwa upinzani kutoka kwa baadhi ya jamii nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Cong…

WHO na CDC Afrika Waunganisha Nguvu Kuzuia Kusambaa kwa Ebola

WHO na CDC Afrika Waunganisha Nguvu Kuzuia Kusambaa kwa Ebola Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kushirikiana na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa barani Afrika (Africa CDC) wamezindua mpan…

WHO Yaonya: Mlipuko wa Ebola DRC Bado Ni Tishio Kubwa kwa Afrika Mashariki

WHO Yaonya: Mlipuko wa Ebola DRC Bado Ni Tishio Kubwa kwa Afrika Mashariki Shirika la Afya Duniani (WHO) limeeleza wasiwasi wake kuhusu kuendelea kwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri …

Mahakama ya Kenya Yazuia Kujengwa kwa kituo cha Ebola nchini Kenya

Mahakama ya Kenya Yazuia Kujengwa kwa kituo cha Ebola nchini Kenya Jaji wa mahakama hiyo Patricia Nyaundi, ametoa amri inayoikataza serikali ya Kenya kuchukua hatua yoyote ya kujenga au kuanza s…

Uganda Yathibitisha Kesi Sita Mpya za Ebola, Jumla Yafikia 15

Uganda Yathibitisha Kesi Sita Mpya za Ebola, Jumla Yafikia 15 Wizara ya Afya ya Uganda imethibitisha kesi sita mpya za ugonjwa wa Ebola, na kufanya idadi ya wagonjwa waliothibitishwa kufikia 15…

Mlipuko wa Kipindupindu Waua Zaidi ya Watu 40 Borno, Nigeria

Mlipuko wa Kipindupindu Waua Zaidi ya Watu 40 Borno, Nigeria Jimbo la Borno nchini Nigeria linakabiliwa na mlipuko mkubwa wa ugonjwa wa kipindupindu (cholera) ambao umeua zaidi ya watu 40 na ku…

Uganda yakubali mpango wa Marekani wa kuwaweka Wamarekani karantini kufuatia mlipuko wa Ebola

Uganda yakubali mpango wa Marekani wa kuwaweka Wamarekani karantini kufuatia mlipuko wa Ebola Serikali ya Uganda imethibitisha kuwa imepokea ombi kutoka Marekani la kuanzisha kituo maalumu cha …

Wizara yajibu kuhusu Marekani kutuma wagonjwa walioathiriwa au waliokaribiana na maambukizi ya Ebola nchini Kenya

Wizara yajibu kuhusu Marekani kutuma wagonjwa walioathiriwa au waliokaribiana na maambukizi ya Ebola nchini Kenya Wizara ya Afya nchini Kenya imetoa uhakikisho kwa wananchi kuwa taifa hilo liko …

Wagonjwa wanaoshukiwa kuwa na ugonjwa hatari wa Ebola Watoroka

Wagonjwa wanaoshukiwa kuwa na ugonjwa hatari wa Ebola wamezua taharuki kubwa nchini Democratic Republic of the Congo baada ya zaidi ya watu 18 waliokuwa wakipatiwa matibabu kutoroka hospitalini …

Serikali ya Zanzibar imewapiga marufuku wachinjaji wenye ugonjwa wa homa ya ini

Serikali ya Zanzibar imewapiga marufuku wachinjaji wenye ugonjwa wa homa ya ini kushiriki shughuli za uchinjaji kuelekea sikukuu ya Eid al-Adha, katika hatua ya kuimarisha usalama wa afya kwa wa…

Zaidi ya visa 900 vinavyoshukiwa ni Ebola vimegundulika DR Congo - WHO

Zaidi ya visa 900 vinavyoshukiwa ni Ebola vimegundulika DR Congo - WHO JChanzo cha picha,AFP Zaidi ya visa 900 vinavyoshukiwa kuwa Ebola, ikiwemo visa 101 vilivyothibitishwa, vimegunduliwa katik…

Aliyekuwa Mke wa Trump,Vanessa Trump agundulika ugonjwa wa Saratani ya Matiti

Aliyekuwa Mke wa Trump,Vanessa Trump agundulika ugonjwa wa Saratani ya Matiti Aliyekuwa mke wa Donald Trump Jr, Vanessa Trump, amethibitisha kuwa amegundulika na ugonjwa wa saratani ya matiti b…

Hasira zaibuka DRC baada ya kijana kufariki kwa EBOLA

Hasira zaibuka DRC baada ya kijana kufariki kwa EBOLA Hali ya taharuki imetokea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya umati wenye hasira kuvamia na kuchoma sehemu ya hospitali…

WHO Yatuma Tani 11 za Vifaa Muhimu Kukabiliana na Ebola DRC

WHO Yatuma Tani 11 za Vifaa Muhimu Kukabiliana na Ebola DRC Shirika la Afya Duniani (WHO) limetuma tani 11 za vifaa muhimu vya matibabu kusaidia juhudi za kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa E…

Mfamasia Kijana Auawa Kwa Risasi Siku Chache Baada ya Kufungua Duka la Dawa Afrika Kusini

Jamii ya Inchanga, mkoani KwaZulu-Natal nchini South Africa imekumbwa na mshtuko mkubwa baada ya mfamasia kijana, Nomzila Madinane, kuuawa kwa kupigwa risasi siku chache tu baada ya kufungua duk…

Dirisha Muhimu la Kuzuia Hantavirus Lafunguka Duniani

Dirisha Muhimu la Kuzuia Hantavirus Lafunguka Duniani  Wataalamu wa afya duniani wameanza kuwa katika hali ya tahadhari baada ya kugundulika kwa maambukizi ya virusi hatari vya Andes hantavirus…

Wanaume Wachangia Zaidi Matatizo ya Ugumba Tanzania – MNH

Wanaume Wachangia Zaidi Matatizo ya Ugumba Tanzania – MNH Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imesema kuwa wanaume sasa wanachangia kwa kiwango kikubwa matatizo ya ugumba miongoni mwa wanando…

Ebola Yatangazwa Dharura ya Afya Duniani Baada ya Maambukizi Congo na Uganda

Ebola Yatangazwa Dharura ya Afya Duniani Baada ya Maambukizi Congo na Uganda Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaosababishwa na virusi vya Bundibugyo k…

Load More Posts That is All