Ajali ya Boti yaua Watu 27 Ghuba ya Ha Long, Vietnam, Leo
Takriban watu 27 wamefariki baada ya boti ya watalii kupinduka katika Ghuba ya Ha Long, Vietnam, Leo Julai 19, 2025 kutokana na hali mbaya ya hewa, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali. …