Showing posts with label Idadi ya Watu. Show all posts
Showing posts with label Idadi ya Watu. Show all posts

Taifa la Seychelles ndilo Taifa lenye watu wachache zaidi AfrikaAfyaclass Forum •

Taifa la Seychelles ndilo Taifa lenye watu wachache zaidi Afrika likiwa na watu 119,878, hii ni kwa mujibu wa takwimu za tovuti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ya taifa hilo, kulingana na matokeo ya sense ya Juni 30, 2022.

Sehemu kubwa ya Seychelles imezungukwa na maji, hali inayofanya kuwa na sehemu kubwa ya vivutio vya utalii.

Sao Tome And Principe wanafuata wakiwa na watu 231,117, Western Sahara 584,302, Cape Verde 597,204, Comoros 848,379, mtandao wa Business Insider Africa unaripoti kwa ujumla wa takwimu zote.

0 Comment
Notification
My blog is in the process of editing and perfecting the new template, so there are still some functions to click but not yet used. Note which blogs associated with your side please read this lesson to update the blog logo.
UNDERSTOOD