Taifa la Seychelles ndilo Taifa lenye watu wachache zaidi Afrika

Taifa la Seychelles ndilo Taifa lenye watu wachache zaidi Afrika

#1

Taifa la Seychelles ndilo Taifa lenye watu wachache zaidi Afrika likiwa na watu 119,878, hii ni kwa mujibu wa takwimu za tovuti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ya taifa hilo, kulingana na matokeo ya sense ya Juni 30, 2022.

Sehemu kubwa ya Seychelles imezungukwa na maji, hali inayofanya kuwa na sehemu kubwa ya vivutio vya utalii.

Sao Tome And Principe wanafuata wakiwa na watu 231,117, Western Sahara 584,302, Cape Verde 597,204, Comoros 848,379, mtandao wa Business Insider Africa unaripoti kwa ujumla wa takwimu zote.

Consultation ya Afya Moja kwa Moja

Mimi ni Dr. Ombeni Mkumbwa. Nakupa ushauri wa kitaalamu kuhusu tatizo lolote la kiafya kwa siri, haraka na uhakika.

WhatsApp

Changia Mada hapa(Reply)

image quote pre code