Vifo vya Wajawazito vyapungua kwa Asilimia 78 Mkoani Arusha
KATIKA kipindi cha miaka minne ya uongozi wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, mkoa wa Arusha umefanikiwa kupunguza vifo vya wajawazito kwa asilimia 78, kutoka vifo 50 mwaka 2021 hadi vifo 1…