P Diddy awalisha Chakula wafungwa wote kama shukrani kwa wafungwa wenzake huko Fort Dix
P Diddy apanga na kufadhili Chakula kama shukrani kwa wafungwa wenzake huko Fort Dix Wafungwa wenzake na Sean Combs huko FCI Fort Dix walipokea Ofa,baada ya Combs kupanga na kufadhili kutoa milo…