Mariam Nabatanzi Mwanamke kutoka Uganda Aliyepata Watoto 44
Mariam, kutoka wilaya ya Mukono, Uganda, alijifungua watoto 44 kufikia umri wa miaka 36! SABABU YA AJABU: Madaktari waligundua ana hali ya kipekee ya vinasaba (genetic condition) inayosababisha …