Aliyekuwa Mbunge wa viti maalum Ester Bulaya amechukua fomu ya kuwania Ubunge wa jimbo la Bunda mkoani Mara kupitia Chama cha Mapinduzi CCM. Ester Bulaya amechukua fomu hiyo leo June 30 2025, akilenga kuchuana na watia nia wengine akiwemo Mbunge wa jimbo hilo…
MAKALA ZA HIVI PUNDE
Social Plugin