Showing posts with label Mwalimu wa field. Show all posts
Showing posts with label Mwalimu wa field. Show all posts

Mwalimu wa Field ajaza ripoti yake muda mfupi kabla ya kufarikiAfyaclass Forum •

Katika hali ya kushangaza mwalimu mmoja wa kujitolea huko texas marekani alimalizia kuorodhesha kazi zote za wanafunzi wake akiwa anaumwa sana katika hospital ya brown care center



Mwalimu huyo wa kujitolea licha ya kwamba hali yake ya kiafya ilikuwa mbaya sana, alijitahidi na kujaza taarifa za wanafunzi wake kwa msaada wa binti yake na kisha siku iliyofuata aliaga dunia.

0 Comment
Notification
My blog is in the process of editing and perfecting the new template, so there are still some functions to click but not yet used. Note which blogs associated with your side please read this lesson to update the blog logo.
UNDERSTOOD