Mwalimu wa Field ajaza ripoti yake muda mfupi kabla ya kufariki

Mwalimu wa Field ajaza ripoti yake muda mfupi kabla ya kufariki

#1

Katika hali ya kushangaza mwalimu mmoja wa kujitolea huko texas marekani alimalizia kuorodhesha kazi zote za wanafunzi wake akiwa anaumwa sana katika hospital ya brown care center



Mwalimu huyo wa kujitolea licha ya kwamba hali yake ya kiafya ilikuwa mbaya sana, alijitahidi na kujaza taarifa za wanafunzi wake kwa msaada wa binti yake na kisha siku iliyofuata aliaga dunia.

Related Discussions

REPLY HAPA


image quote pre code