Rais Paul Biya wa Cameroon ametangaza rasmi kuwa atawania tena kiti cha Urais
Rais Paul Biya wa Cameroon ametangaza rasmi kuwa atawania tena kiti cha Urais wa Nchi hiyo kwa muhula wa nane (8) katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Tangazo la u…