RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kufuatia ajali iliyotokea Same
DAR ES SALAAM;RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kufuatia ajali iliyotokea jana Same mkoani Kilimanjaro, huku akiwataka madereva waendelee kuzingatia kwa umakini mkubwa sheria za u…