Utawala wa Trump unapendekeza kuzuia wageni wenye Uzito mkubwa kuingia Marekani
Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetoa mwongozo unaopendekeza kwamba watu wanene kupita kiasi wanyimwe visa vya Uhamiaji ya kuingia Marekani. Agizo hilo, ambalo ni sehemu ya hatua kadhaa ziliz…