Je,Umepaliwa ghafla wakati unakula chakula,Fanya haya haraka
Ukimeza chakula vibaya na ukapaliwa (choking) , zifuatazo ni hatua za haraka za kujiokoa: Ikiwa UMEPALIA WEWE MWENYEWE: JARIBU KUKOHOA KWA NGUVU Kohoa kwa nguvu mara kadhaa ili kujaribu kusukuma…