Mwandishi habari wa Uingereza kuachiliwa kutoka kizuizini Marekani
Mwanahabari wa Uingereza Sami Hamdi anatazamiwa kuachiliwa kutoka kizuizini nchini Marekani wiki mbili baada ya kuzuiliwa na Idara ya uhamiaji, familia yake ilisema Jumatatu. Idara ya Uhamiaji n…