Cristiano Ronaldo ‘arudishwa nyumbani’ baada ya kadi nyekundu
Cristiano Ronaldo ameripotiwa kurudishwa nyumbani kutoka kambi ya timu ya taifa ya Ureno baada ya kupata kadi nyekundu ya kwanza kimataifa. Mshindi huyo mara tano wa Ballon d'Or alipewa kadi…